menu.png

Bible Search

 (Index)


Found entries

•••► •••►
Book Chapter Verse Text
Romans 6 8 Basi, ikiwa tumekufa pamoja na Kristo, tuNAAMINI kwamba tutaishi pia pamoja naye.
Romans 10 10 Maana tuNAAMINI kwa moyo na kukubaliwa kuwa waadilifu; na tunakiri kwa midomo yetu na kuokolewa.
1 Corinthians 11 18 Awali ya yote, nasikia kwamba mnapokutana pamoja hutokea mafarakano kati yenu. Nami NAAMINI kiasi,
2 Corinthians 4 13 Maandiko Matakatifu yasema: "Niliamini, ndiyo maana nilinena." Nasi pia, tukiwa na moyo huohuo wa imani, tuNAAMINI, na kwa sababu hiyo twanena.
1 Thessalonians 4 14 Sisi tuNAAMINI kwamba Yesu alikufa, akafufuka; na hivyo sisi tuNAAMINI kwamba Mungu atawaleta pamoja na Yesu wale wote waliofariki wakiwa wanamwamini.
Hebrews 10 39 Basi, sisi hatumo miongoni mwa wale wanaorudi nyuma na kupotea, ila sisi tuNAAMINI na tunaokolewa.
James 2 19 Je, wewe uNAAMINI kwamba yuko Mungu mmoja? Sawa! Lakini hata pepo huamini hilo, na hutetemeka kwa hofu.
1 John 4 16 Basi, sisi tunajua na tuNAAMINI upendo alio nao Mungu kwetu sisi. Mungu ni upendo, na kila mtu aishiye katika upendo, anaishi katika muungano na Mungu, na Mungu anaishi katika muungano naye.

Page:   1 2