menu.png

Bible Search

 (Index)


Found entries

•••► •••►
Book Chapter Verse Text
Matthew 9 28 Yesu alipoingia nyumbani, vipofu hao wawili wakamwendea, naye akawauliza, "Je, mNAAMini kwamba naweza kuwafanyia jambo hilo?" Nao wakamjibu, "NAAM, Mheshimiwa."
Matthew 11 9 Basi, mlikwenda kuona nini? Nabii? NAAM, hakika ni zaidi ya nabii.
Matthew 11 26 NAAM Baba, ndivyo ilivyokupendeza.
Matthew 13 51 Yesu akawauliza, "Je, mmeelewa mambo haya yote?" Wakamjibu, "NAAM."
Matthew 17 25 Petro akajibu, "NAAM, hulipa." Basi, Petro alipoingia ndani ya nyumba, kabla hata hajasema neno, Yesu akamwuliza, "Simoni, wewe unaonaje? Wafalme wa dunia hukusanya ushuru au kodi kutoka kwa kina nani? Kutoka kwa wananchi ama kutoka kwa wageni?"
Matthew 21 16 Hivyo wakamwambia, "Je, husikii wanachosema?" Yesu akawajibu, "NAAM, nasikia! Je hamjasoma Maandiko haya Matakatifu? Kwa vinywa vya watoto wadogo na wanyonyao unajipatia sifa kamilifu."
Matthew 21 30 Yule baba akamwambia mtoto wake wa pili vivyo hivyo, naye akamjibu, NAAM baba! Lakini hakwenda kazini.
Matthew 23 35 Hivyo lawama yote itawapateni kwa ajili ya damu yote ya watu wema iliyomwagwa juu ya ardhi. NAAM, tangu kuuawa kwa Abeli ambaye hakuwa na hatia, mpaka kuuawa kwa Zakariya, mwana wa Barakia, ambaye mlimuua Hekaluni kati ya patakatifu na madhabahu
Matthew 24 35 NAAM, mbingu na dunia zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe.
Matthew 26 24 NAAM, Mwana wa Mtu anakwenda zake kama Maandiko Matakatifu yasemavyo, lakini ole wake mtu yule atakayemsaliti Mwana wa Mtu! Ingalikuwa afadhali kwa mtu huyo kama hangalizaliwa."
Matthew 28 20 Wafundisheni kushika maagizo yote niliyowapeni. Nami nipo pamoja nanyi siku zote; NAAM, mpaka mwisho wa nyakati."
Mark 9 12 Naye akawajibu, "NAAM, Eliya anakuja kwanza kutayarisha yote. Hata hivyo, kwa nini basi imeandikwa katika Maandiko Matakatifu kwamba Mwana wa Mtu atapatwa na mateso mengi na kudharauliwa?
Mark 9 24 Hapo, huyo baba akalia kwa sauti, "NAAMini! Lakini imani yangu haitoshi, nisaidie!"
Mark 14 62 Yesu akajibu, "NAAM, mimi ndiye. Tena, mtamwona Mwana wa Mtu amekaa upande wa kulia wa Mwenyezi, akija katika mawingu ya mbinguni."
Mark 16 3 Nao wakawa waNAAMbiana, "Nani atakayetuondolea lile jiwe mlangoni mwa kaburi?"

Page:   1 2 3 4 5 6