menu.png

Bible Search

 (Index)


Found entries

•••► •••►
Book Chapter Verse Text
Matthew 9 28 Yesu alipoingia nyumbani, vipofu hao wawili wakamwendea, naye akawauliza, "Je, mNAAMINI kwamba naweza kuwafanyia jambo hilo?" Nao wakamjibu, "Naam, Mheshimiwa."
Mark 9 24 Hapo, huyo baba akalia kwa sauti, "NAAMINI! Lakini imani yangu haitoshi, nisaidie!"
Luke 20 6 Na tukisema yalitoka kwa binadamu, watu wote hapa watatupiga mawe, maana wote waNAAMINI kwamba Yohane alikuwa nabii."
John 6 69 Sisi tuNAAMINI, na tunajua kwamba wewe ndiwe yule Mtakatifu wa Mungu."
John 9 38 Basi, huyo mtu akasema, "NiNAAMINI Bwana!" Akamsujudia.
John 11 27 Martha akamwambia, "Ndiyo Bwana! NAAMINI kwamba wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu, yule ajaye ulimwenguni."
John 16 30 Sasa tunajua kwamba wewe unajua kila kitu, na huna haja ya kuulizwa maswali na mtu yeyote; kwa hiyo tuNAAMINI kwamba umetoka kwa Mungu."
John 16 31 Yesu akawajibu, "Je, mNAAMINI sasa?
John 17 8 Mimi nimewapa ule ujumbe ulionipa nao wameupokea; wanajua kwamba kweli nimetoka kwako, na waNAAMINI kwamba wewe ulinituma.
John 20 29 Yesu akamwambia, "Je, uNAAMINI kwa kuwa umeniona? Heri yao wale ambao hawajaona, lakini wameamini."
Acts 8 37 Filipo akasema, "Kama uNAAMINI kwa moyo wako wote unaweza kubatizwa." Naye akajibu, "Naam, niNAAMINI kwamba Yesu Kristo ni Mwana wa Mungu."
Acts 15 11 Isiwe hivyo, ila tuNAAMINI kwamba, sisi kama vile wao, tunaokolewa kwa njia ya neema ya Bwana Yesu."
Acts 24 14 Ninachokubali mbele yako ni hiki: Mimi ninamwabudu Mungu na wazee wetu nikiishi kufuatana na Njia ile ambayo wao wanaiita chama cha uzushi. NiNAAMINI mambo yote yaliyoandikwa katika vitabu vya Sheria na manabii.
Acts 26 27 Mfalme Agripa, je, una imani na manabii? Najua kwamba uNAAMINI."
Romans 3 27 Basi, tunaweza kujivunia nini? Hakuna! Kwa nini? Je, kwa sababu ya kutimiza Sheria? La! Bali kwa sababu tuNAAMINI.

Page:   1 2