menu.png

Bible Search

 (Index)


Found entries

•••► •••►
Book Chapter Verse Text
John 8 8 Kisha akainama tena, akawa aNAANDIKA ardhini.
2 Corinthians 13 10 Basi, niNAANDIKA barua hii nikiwa mbali, ili nitakapofika kwenu nisilazimike kuwa mkali kwenu kwa kutumia ule uwezo alionipa Bwana; naam, uwezo wa kujenga na si wa kubomoa.
Colossians 4 18 NAANDIKA haya kwa mkono wangu mwenyewe: Salamu kutoka kwangu, mimi Paulo. Kumbukeni kwamba niko kifungoni. Neema ya Mungu iwe nanyi.
2 Thessalonians 3 17 Kwa mkono wangu mwenyewe NAANDIKA hivi: Salamu kutoka kwa Paulo! Hivi ndivyo ninavyotia sahihi kila barua; ndivyo ninavyoandika.
Titus 1 1 Mimi Paulo, mtumishi wa Mungu na mtume wa Yesu Kristo NAANDIKA. Mimi nimechaguliwa kuijenga imani ya wateule wa Mungu na kuwaongoza waufahamu ukweli wa dini yetu,
Philemon 1 19 NAANDIKA jambo hili kwa mkono wangu mwenyewe: Mimi Paulo nitalipa! (Tena sina haja ya kusema kwamba wewe unalo deni kwangu la nafsi yako.)
Philemon 1 21 NAANDIKA nikitumaini kwamba utanikubalia ombi langu; tena najua kwamba utafanya hata zaidi ya haya ninayokuomba.

Page:   1