menu.png

Bible Search

 (Index)


Found entries

•••► •••►
Book Chapter Verse Text
Matthew 1 1 Yesu Kristo alikuwa mzawa wa Daudi, mzawa wa AbraHamu. Hii ndiyo orodHa ya ukoo wake:
Matthew 1 2 AbraHamu alimzaa Isaka, Isaka alimzaa Yakobo, Yakobo alimzaa Yuda na ndugu zake,
Matthew 1 3 Yuda alimzaa Faresi na Zera (mama yao alikuwa Tamari), Faresi alimzaa Hesroni, Hesroni alimzaa Rami,
Matthew 1 4 Rami alimzaa Aminadabu, Aminadabu alimzaa NasHoni, NasHoni alimzaa Salmoni,
Matthew 1 5 Salmoni alimzaa Boazi (mama yake Boazi alikuwa RaHabu). Boazi na RutHi walikuwa wazazi wa Obedi, Obedi alimzaa Yese,
Matthew 1 7 Solomoni alimzaa ReHoboamu, ReHoboamu alimzaa Abiya, Abiya alimzaa Asa,
Matthew 1 8 Asa alimzaa YeHosHafati, YeHosHafati alimzaa Yoramu, Yoramu alimzaa Uzia,
Matthew 1 9 Uzia alimzaa YotHamu, YotHamu alimzaa AHazi, AHazi alimzaa Hezekia,
Matthew 1 10 Hezekia alimzaa Manase, Manase alimzaa Amoni, Amoni alimzaa Yosia,
Matthew 1 11 Yosia alimzaa Yekonia na ndugu zake. Huo ulikuwa wakati WayaHudi walipopelekwa uHamisHoni Babuloni.
Matthew 1 12 Baada ya WayaHudi kupelekwa uHamisHomi Babuloni: Yekonia alimzaa SHealtieli, SHealtieli alimzaa Zerobabeli,
Matthew 1 15 Eliudi alimzaa Eleazeri, Eleazeri alimzaa MatHani, MatHani alimzaa Yakobo,
Matthew 1 17 Basi, kulikuwa na vizazi kumi na vinne tangu AbraHamu mpaka Daudi, vizazi kumi na vinne tangu Daudi mpaka WayaHudi walipocHukuliwa mateka Babuloni, na vizazi kumi na vinne tangu kucHukuliwa mateka mpaka wakati wa Kristo.
Matthew 1 18 Basi, Hivi ndivyo Yesu Kristo alivyozaliwa: Maria, mama yake, alikuwa ameposwa na Yosefu. Lakini kabla Hawajakaa pamoja kama mume na mke, alionekana kuwa mja mzito kwa uwezo wa RoHo Mtakatifu.
Matthew 1 19 Yosefu, mumewe, kwa vile alikuwa mwadilifu, Hakutaka kumwaibisHa HadHarani; Hivyo alikusudia kumwacHa kwa siri.

Page:   1 2 3 4 5 6