menu.png

Bible Search

 (Index)


Found entries

•••► •••►
Book Chapter Verse Text
Matthew 2 8 Kisha akawatuma Bethlehemu akisema, "Nendeni mkachunguze kwa makini HABAri za mtoto huyo. Mkisha mpata nileteeni HABAri ili nami niende nikamwabudu."
Matthew 4 23 Yesu alikuwa anakwenda kila mahali wilayani Galilaya, akifundisha katika masunagogi na kuhubiri HABAri Njema juu ya ufalme wa Mungu. Aliponya kila namna ya maradhi na magonjwa waliyokuwa nayo watu.
Matthew 4 24 HABAri zake zikaenea katika mkoa wote wa Siria. Wagonjwa wote wenye maradhi ya kila namna na wale waliosumbuliwa na kila namna ya taabu: waliopagawa na pepo, wenye kifafa na watu waliokuwa wamelemaa, walipelekwa kwake; naye akawaponya wote.
Matthew 5 23 Basi, ukipeleka sadaka yako mbele ya madHABAhu na hapo ukakumbuka kwamba ndugu yako ana ugomvi nawe,
Matthew 5 24 iache sadaka yako mbele ya madHABAhu, nenda kwanza ukapatane na ndugu yako, ndipo urudi ukatoe sadaka yako.
Matthew 6 30 Ikiwa basi Mungu hulivika hivyo jani la shambani ambalo leo liko na kesho latupwa motoni, je, hatafanya zaidi kwenu ninyi? Enyi watu wenye imani HABA!
Matthew 8 26 Yesu akawaambia, "Enyi watu wenye imani HABA; mbona mnaogopa?" Basi, akainuka, akazikemea pepo na mawimbi; kukawa shwari kabisa.
Matthew 8 33 Wachungaji wa hao nguruwe walikimbia, wakaenda mjini. Huko walitoa HABAri zote na mambo yaliyowapata wale watu waliokuwa wamepagawa.
Matthew 9 26 HABAri hiyo ikavuma sana katika nchi ile yote.
Matthew 9 31 Lakini wao wakaondoka, wakaeneza HABAri za Yesu katika nchi ile yote.
Matthew 9 35 Yesu alitembelea miji yote na vijiji, akafundisha katika masunagogi yao akihubiri HABAri Njema ya Ufalme wa Mungu, na kuponya magonjwa yote na udhaifu wa kila namna.
Matthew 10 9 Msichukue mifukoni mwenu dhahabu, wala fedha, wala sarafu za sHABA.
Matthew 10 18 Mtapelekwa mbele ya watawala na wafalme kwa sababu yangu, mpate kutangaza HABAri Njema kwao na kwa mataifa.
Matthew 11 2 Yohane mbatizaji akiwa gerezani alipata HABAri juu ya matendo ya Kristo. Basi, Yohane akawatuma wanafunzi wake,
Matthew 11 5 vipofu wanaona, viwete wanatembea, wenye ukoma wanatakaswa na viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa na maskini wanahubiriwa HABAri Njema.

Page:   1 2 3 4 5 6