menu.png

Bible Search

 (Index)


Found entries

•••► •••►
Book Chapter Verse Text
Matthew 2 8 Kisha akawatuma Bethlehemu akisema, "Nendeni mkachunguze kwa makini HABARI za mtoto huyo. Mkisha mpata nileteeni HABARI ili nami niende nikamwabudu."
Matthew 4 23 Yesu alikuwa anakwenda kila mahali wilayani Galilaya, akifundisha katika masunagogi na kuhubiri HABARI Njema juu ya ufalme wa Mungu. Aliponya kila namna ya maradhi na magonjwa waliyokuwa nayo watu.
Matthew 4 24 HABARI zake zikaenea katika mkoa wote wa Siria. Wagonjwa wote wenye maradhi ya kila namna na wale waliosumbuliwa na kila namna ya taabu: waliopagawa na pepo, wenye kifafa na watu waliokuwa wamelemaa, walipelekwa kwake; naye akawaponya wote.
Matthew 8 33 Wachungaji wa hao nguruwe walikimbia, wakaenda mjini. Huko walitoa HABARI zote na mambo yaliyowapata wale watu waliokuwa wamepagawa.
Matthew 9 26 HABARI hiyo ikavuma sana katika nchi ile yote.
Matthew 9 31 Lakini wao wakaondoka, wakaeneza HABARI za Yesu katika nchi ile yote.
Matthew 9 35 Yesu alitembelea miji yote na vijiji, akafundisha katika masunagogi yao akihubiri HABARI Njema ya Ufalme wa Mungu, na kuponya magonjwa yote na udhaifu wa kila namna.
Matthew 10 18 Mtapelekwa mbele ya watawala na wafalme kwa sababu yangu, mpate kutangaza HABARI Njema kwao na kwa mataifa.
Matthew 11 2 Yohane mbatizaji akiwa gerezani alipata HABARI juu ya matendo ya Kristo. Basi, Yohane akawatuma wanafunzi wake,
Matthew 11 5 vipofu wanaona, viwete wanatembea, wenye ukoma wanatakaswa na viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa na maskini wanahubiriwa HABARI Njema.
Matthew 11 7 Basi, hao wajumbe wa Yohane walipokuwa wanakwenda zao, Yesu alianza kuyaambia makundi ya watu HABARI za Yohane: "Mlikwenda kutazama nini kule jangwani? Je, mlitaka kuona mwanzi unaotikiswa na upepo?
Matthew 12 16 akawaamuru wasiwaambie watu HABARI zake,
Matthew 14 12 Wanafunzi wa Yohane wakaja, wakauchukua mwili wake, wakauzika. Kisha wakaenda kumpasha HABARI Yesu.
Matthew 14 13 Yesu alipopata HABARI hiyo, aliondoka mahali pale kwa mashua, akaenda mahali pa faragha peke yake. Lakini watu walipata HABARI, wakamfuata kwa miguu toka mijini.
Matthew 14 35 Watu wa huko walipomtambua, wakaeneza HABARI pote katika sehemu hizo. Basi, wakamletea Yesu wagonjwa wote,

Page:   1 2 3 4 5 6