menu.png

Bible Search

 (Index)


Found entries

•••► •••►
Book Chapter Verse Text
Matthew 1 19 Yosefu, mumewe, kwa vile alikuwa mwadilifu, hakutaka kumwaibisha HADHARANI; hivyo alikusudia kumwacha kwa siri.
Matthew 10 27 Ninalowaambieni ninyi katika giza, lisemeni katika mwanga; na jambo mlilosikia likinong'onezwa, litangazeni HADHARANI.
Matthew 10 32 "Kila mtu anayekiri HADHARANI kwamba yeye ni wangu, mimi pia nitamkiri mbele ya Baba yangu aliye mbinguni.
Matthew 10 33 Lakini yeyote atakayenikana HADHARANI, nami nitamkana mbele ya Baba yangu aliye mbinguni.
Luke 3 23 Yesu alipoanza kazi yake HADHARANI, alikuwa na umri upatao miaka thelathini, na watu walidhani yeye ni mwana wa Yosefu, mwana wa Heli.
Luke 8 17 "Chochote kilichofichwa kitafichuliwa na siri yoyote itagunduliwa na kujulikana HADHARANI.
Luke 11 43 "Ole wenu ninyi Mafarisayo, kwa sababu mnapenda kuketi mbele mahali pa heshima katika masunagogi, na kusalimiwa kwa heshima HADHARANI.
Luke 12 8 "Nawaambieni kweli, kila mtu anayekiri HADHARANI kwamba yeye ni wangu, Mwana wa Mtu naye atakiri mbele ya malaika wa Mungu kwamba mtu huyo ni wake.
John 7 13 Hata hivyo hakuna mtu aliyethubutu kusema, habari zake HADHARANI kwa kuwaogopa viongozi wa Wayahudi.
John 7 26 Tazameni sasa! Anawaonya HADHARANI, wala hakuna mtu anayemwambia hata neno. Je, yawezekana kuwa viongozi wametambua kweli kwamba huyu ndiye Kristo?
John 11 54 Kwa hiyo, Yesu hakutembea tena HADHARANI kati ya Wayahudi, bali alitoka hapo, akaenda mahali karibu na jangwa, katika mji uitwao Efraimu. Akakaa huko pamoja na wanafunzi wake.
John 12 42 Hata hivyo, wengi wa viongozi wa Wayahudi walimwamini Yesu. Lakini kwa sababu ya Mafarisayo, hawakumkiri HADHARANI kwa kuogopa kwamba watatengwa na sunagogi.
John 18 20 Yesu akamjibu, "Nimesema na kila mtu daima HADHARANI. Kila mara nimefundisha katika masunagogi na Hekaluni, mahali wakutanikiapo Wayahudi wote; na wala sijasema chochote kwa siri.
Acts 4 18 Kwa hiyo wakawaita tena ndani, wakawaonya wasiongee tena HADHARANI, wala kufundisha kwa jina la Yesu.
Acts 12 4 Baada ya kutiwa nguvuni, Petro alifungwa gerezani, akawekwa chini ya ulinzi wa vikundi vinne vya askari wannewanne. Herode alikusudia kumtoa HADHARANI baada ya sikukuu ya Pasaka.

Page:   1 2