menu.png

Bible Search

 (Index)


Found entries

•••► •••►
Book Chapter Verse Text
Matthew 6 1 "JiHADHARIni msije mkafanya matendo yenu mema mbele ya watu kusudi mwonekane nao. La sivyo, Baba yenu aliye mbinguni hatawapeni tuzo.
Matthew 7 15 "JiHADHARIni na manabii wa uongo. Wao huja kwenu wakionekana kama kondoo kwa nje, lakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali.
Matthew 10 17 JiHADHARIni na watu, maana watawapeleka ninyi mahakamani na kuwapiga viboko katika masunagogi yao.
Matthew 16 6 Yesu akawaambia, "Muwe macho na mjiHADHARI na chachu ya Mafarisayo na Masadukayo!"
Matthew 16 11 Inawezekanaje hamwelewi ya kwamba sikuwa nikisema juu ya mikate? JiHADHARIni na chachu ya Mafarisayo na Masadukayo!"
Matthew 16 12 Hapo wanafunzi wakafahamu kwamba aliwaambia wajiHADHARI siyo na chachu ya mikate, bali na mafundisho ya Mafarisayo na Masadukayo.
Matthew 18 10 "JiHADHARIni! Msimdharau mmojawapo wa wadogo hawa. Nawaambieni, malaika wao huko mbinguni wako daima mbele ya Baba yangu aliye mbinguni.
Matthew 24 4 Yesu akawajibu, "JiHADHARIni msije mkadanganywa na mtu.
Mark 8 15 Yesu akawaonya, "Angalieni sana! JiHADHARIni na chachu ya Mafarisayo na chachu ya Herode."
Mark 12 38 Katika mafundisho yake, Yesu alisema, "JiHADHARIni na walimu wa Sheria ambao hupenda kupitapita wamejivalia kanzu ndefu na kusalimiwa na watu kwa heshima sokoni; hupenda kuketi mahali pa heshima katika masunagogi,
Mark 13 5 Yesu akaanza kuwaambia, "JiHADHARIni msije mkadanganywa na mtu.
Mark 13 9 "Lakini ninyi jiHADHARIni. Maana watu watawapelekeni mahakamani, na kuwapigeni katika masunagogi. Mtapelekwa mbele ya watawala na wafalme kwa sababu yangu ili mpate kunishuhudia kwao.
Mark 13 23 Lakini ninyi jiHADHARIni. Mimi nimewaambieni mambo yote kabla hayajatokea.
Luke 8 18 "Kwa hiyo, jiHADHARIni jinsi mnavyosikia; maana aliye na kitu ataongezewa, lakini yule asiye na kitu, hata kile anachodhani kuwa anacho, kitachukuliwa."
Luke 12 1 Wakati watu kwa maelfu walipokuwa wamekusanyika hata wakawa wanakanyagana, Yesu aliwaambia kwanza wanafunzi wake, "JiHADHARIni na chachu ya Mafarisayo, yaani unafiki.

Page:   1 2 3