menu.png

Bible Search

 (Index)


Found entries

•••► •••►
Book Chapter Verse Text
Matthew 21 2 akawaambia, "Nendeni HADI kijiji kilicho mbele yenu na mtamkuta punda amefungwa na mtoto wake. Wafungueni mkawalete kwangu.
Matthew 24 27 maana, kama vile umeme uangazavyo toka mashariki HADI magharibi, ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Mtu.
Matthew 24 31 Naye atawatuma malaika wake wenye tarumbeta la kuvuma sana, nao watawakusanya wateule wake kutoka pande zote nne za dunia, toka mwisho huu wa mbingu HADI mwisho huu.
Mark 1 29 Wakatoka katika sunagogi, wakaenda moja kwa moja HADI nyumbani kwa Simoni na Andrea; Yakobo na Yohane walikwenda pamoja nao.
Mark 7 24 Yesu aliondoka hapo, akaenda HADI wilaya ya Tiro. Huko aliingia katika nyumba moja na hakutaka mtu ajue; lakini hakuweza kujificha.
Mark 12 1 Yesu alianza kusema nao kwa mifano: "Mtu mmoja alilima shamba la mizabibu. Akalizungushia ukuta, na katikati yake akachimba kisima cha kusindikia divai, akajenga mnara pia. Akalikodisha shamba hilo kwa wakulima, akasafiri HADI nchi ya mbali.
Luke 1 39 Siku kadhaa baadaye, Maria alifunga safari akaenda kwa haraka HADI mji mmoja ulioko katika milima ya Yuda.
Luke 2 29 "Sasa Bwana, umetimiza aHADI yako, waweza kumruhusu mtumishi wako aende kwa amani.
Luke 2 37 Halafu alibaki mjane HADI wakati huo akiwa mzee wa miaka themanini na minne. Wakati huo wote alikaa Hekaluni akifunga na kusali usiku na mchana.
Luke 2 51 Basi, akarudi pamoja nao HADI Nazareti, akawa anawatii. Mama yake akaweka mambo hayo yote moyoni mwake.
Luke 4 5 Kisha Ibilisi akamchukua HADI mahali pa juu, akamwonyesha kwa mara moja falme zote za ulimwengu. Huyo Shetani akamwambia,
Luke 17 24 Kwa maana kama vile umeme unavyotokea ghafla na kuangaza anga upande mmoja HADI mwingine, ndivyo Mwana wa Mtu atakavyokuwa siku yake.
Luke 20 9 Yesu akaendelea kuwaambia watu mfano huu: "Mtu mmoja alilima shamba la mizabibu, akalikodisha kwa wakulima; kisha akasafiri HADI nchi ya mbali, akakaa huko kwa muda mrefu.
Luke 21 24 Wengine watauawa kwa upanga, wengine watachukuliwa mateka katika nchi zote; na mji wa Yerusalemu utakanyagwa na watu wa mataifa mengine, HADI nyakati zao zitakapotimia.
Luke 22 16 Maana nawaambieni, sitaila tena HADI hapo itakapokamilika katika Ufalme wa Mungu."

Page:   1 2 3 4 5 6