menu.png

Bible Search

 (Index)


Found entries

•••► •••►
Book Chapter Verse Text
Acts 17 21 Wananchi wa Athene na wakazi wengine wa huko walikuwa wanatumia wakati wao wote kuHADITHIana na kusikiliza habari mpyampya.
1 Timothy 1 4 Waambie waachane na zile HADITHI tupu na orodha ndefu za mababu, ambazo huleta tu ubishi, wala haviwajengi watu katika mpango ujulikanao kwa imani.
1 Timothy 4 7 Lakini achana na HADITHI zile zisizo za kidini na ambazo hazina maana. Jizoeshe kuishi maisha ya uchaji wa Mungu.
2 Timothy 4 4 Watakataa kuusikia ukweli, watageukia HADITHI za uongo.
Titus 1 14 Wasiendelee kushikilia HADITHI tupu za Kiyahudi na maagizo ya kibinadamu yanayozuka kwa watu walioukataa ukweli.
2 Peter 1 16 Wakati tulipowafundisheni juu ya ukuu wa kuja kwake Bwana wetu Yesu Kristo, hatukutegemea HADITHI tupu zisizo na msingi. Sisi tuliuona utukufu wake kwa macho yetu wenyewe.
2 Peter 2 3 Kwa tamaa yao mbaya watajipatia faida kwa kuwaambieni HADITHI za uongo. Lakini kwa muda mrefu sasa Hakimu wao yu tayari, na Mwangamizi wao yu macho!

Page:   1