menu.png

Bible Search

 (Index)


Found entries

•••► •••►
Book Chapter Verse Text
John 1 26 Yohane akawajibu, "Mimi NABATIZA kwa maji, lakini yuko mmoja kati yenu, msiyemjua bado.
John 1 28 Mambo haya yalifanyika huko Bethania, ng'ambo ya mto Yordani ambako Yohane alikuwa aNABATIZA.
John 3 26 Basi, wanafunzi hao wakamwendea Yohane na kumwambia, "Mwalimu, yule mtu aliyekuwa pamoja nawe ng'ambo ya Yordani na ambaye wewe ulimshuhudia, sasa naye aNABATIZA, na watu wote wanamwendea."
John 4 1 Mafarisayo walisikia kwamba Yesu alikuwa aNABATIZA na kuwapata wanafunzi wengi kuliko Yohane.
John 4 2 (Lakini ukweli ni kwamba Yesu hakuwa aNABATIZA ila wanafunzi wake.)
Acts 1 22 Anapaswa kuwa mmoja wa wale waliokuwa katika kundi letu wakati wote Bwana alipokuwa anasafiri pamoja nasi, tangu wakati Yohane alipokuwa aNABATIZA mpaka siku ile Yesu alipochukuliwa kutoka kwetu kwenda mbinguni."

Page:   1