menu.png

Bible Search

 (Index)


Found entries

•••► •••►
Book Chapter Verse Text
Matthew 1 22 Basi, haya yote yalitukia ili litimie lile neno Bwana alilosema kwa njia ya NABII:
Matthew 2 5 Nao wakamjibu, "Mjini Bethlehemu, mkoani Yudea. Ndivyo NABII alivyoandika:
Matthew 2 15 Akakaa huko mpaka Herode alipokufa. Jambo hilo lilifanyika ili neno alilosema Bwana kwa njia ya NABII litimie: "Nilimwita Mwanangu kutoka Misri."
Matthew 2 17 Ndivyo yalivyotimia maneno yaliyosemwa kwa njia ya NABII Yeremia:
Matthew 2 23 akahamia katika mji uitwao Nazareti. Ndivyo yalivyotimia maneno yaliyonenwa kwa njia ya maNABII: "Ataitwa Mnazare."
Matthew 3 3 Huyu Yohane ndiye yule ambaye NABII Isaya alinena juu yake aliposema: "Sauti ya mtu imesikika jangwani: Mtayarishieni Bwana njia yake, nyoosheni vijia vyake."
Matthew 4 14 Ndivyo lilivyotimia lile neno lililosemwa kwa njia ya NABII Isaya:
Matthew 5 12 Furahini na kushangilia maana tuzo lenu ni kubwa mbinguni. Hivyo ndivyo walivyowadhulumu maNABII waliokuwako kabla yenu.
Matthew 5 17 "Msidhani ya kuwa nimekuja kutangua Sheria ya Mose na mafundisho ya maNABII. Sikuja kutangua bali kukamilisha.
Matthew 7 12 "Watendeeni wengine yale mnayotaka wao wawatendee ninyi. Hii ndiyo maana ya Sheria ya Mose na mafundisho ya maNABII.
Matthew 7 15 "Jihadharini na maNABII wa uongo. Wao huja kwenu wakionekana kama kondoo kwa nje, lakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali.
Matthew 8 17 Alifanya hivyo ili yale aliyosema NABII Isaya yatimie: "Yeye mwenyewe ameondoa udhaifu wetu, ameyachukua magonjwa yetu."
Matthew 10 41 Anayemkaribisha NABII kwa sababu ni NABII, atapokea tuzo la NABII. Anayemkaribisha mtu mwema kwa sababu ni mtu mwema, atapokea tuzo la mtu mwema.
Matthew 11 9 Basi, mlikwenda kuona nini? NABII? Naam, hakika ni zaidi ya NABII.
Matthew 11 13 Mafundisho yote ya maNABII na sheria yalibashiri juu ya nyakati hizi.

Page:   1 2 3 4 5 6