menu.png

Bible Search

 (Index)


Found entries

•••► •••►
Book Chapter Verse Text
Matthew 5 37 Ukisema, Ndiyo, basi iwe Ndiyo; ukisema Siyo, basi iwe kweli Siyo. Chochote kiNACHOzidi hayo hutoka kwa yule Mwovu.
Matthew 6 11 Utupe leo chakula chetu tuNACHOhitaji.
Matthew 7 2 kwa maana jinsi mnavyowahukumu wengine, ndivyo nanyi mtakavyohukumiwa; na kipimo kilekile mNACHOtumia kwa wengine ndicho Mungu atakachotumia kwenu.
Matthew 13 12 Maana, aliye na kitu atapewa na kuzidishiwa; lakini yule asiye na kitu, hata kile alicho NACHO kitachukuliwa.
Matthew 15 5 Lakini ninyi mwafundisha ati mtu akiwa na kitu ambacho angeweza kuwasaidia NACHO baba au mama yake, lakini akasema: Kitu hiki nimemtolea Mungu,
Matthew 15 11 Kitu kiNACHOmtia mtu najisi si kile kiingiacho kinywani, bali kile kitokacho kinywani. Hicho ndicho kimtiacho mtu najisi."
Matthew 15 17 Je, hamwelewi kwamba kila kiNACHOingia kinywani huenda tumboni na baadaye hutupwa nje chooni?
Matthew 21 16 Hivyo wakamwambia, "Je, husikii waNACHOsema?" Yesu akawajibu, "Naam, nasikia! Je hamjasoma Maandiko haya Matakatifu? Kwa vinywa vya watoto wadogo na wanyonyao unajipatia sifa kamilifu."
Matthew 25 29 Maana, aliye na kitu atapewa na kuzidishiwa. Lakini yule asiye na kitu, hata kile alicho NACHO kitachukuliwa.
Mark 4 24 Akawaambia pia, "Sikilizeni kwa makini mNACHOsikia! Kipimo kilekile mNACHOwapimia watu wengine, ndicho mtakachopimiwa; tena mtazidishiwa.
Mark 4 25 Aliye na kitu atapewa zaidi; asiye na kitu, hata kile alicho NACHO kitachukuliwa."
Mark 7 11 Lakini ninyi mwafundisha, Kama mtu aNACHO kitu ambacho angeweza kuwasaidia NACHO baba au mama yake, lakini akasema kwamba kitu hicho ni Korbani (yaani ni zawadi kwa Mungu),
Mark 7 15 Hakuna kitu kiNACHOingia ndani ya mtu toka nje ambacho chaweza kumtia mtu najisi. Lakini kiNACHOtoka ndani ya mtu ndicho kiNACHOmtia mtu najisi."
Mark 7 18 Naye akawaambia, "Je, hata ninyi hamwelewi? Je, hamwelewi kwamba kitu kiNACHOmwingia mtu toka nje hakiwezi kumtia unajisi,
Mark 7 20 Akaendelea kusema, "KiNACHOtoka ndani ya mtu ndicho kiNACHOmtia najisi.

Page:   1 2 3 4 5 6