menu.png

Bible Search

 (Index)


Found entries

•••► •••►
Book Chapter Verse Text
Matthew 20 10 Wale wa kwanza walipofika, walikuwa waNADHANI watapewa zaidi; lakini hata wao wakapewa kila mmoja dinari moja.
Luke 12 51 MNADHANI nimekuja kuleta amani duniani? Hata kidogo; si amani bali utengano.
Luke 13 2 Naye Yesu akawaambia, "MNADHANI Wagalilaya hao walikuwa wahalifu zaidi kuliko Wagalilaya wengine, ati kwa sababu wameteseka hivyo?
Luke 13 4 Au wale kumi na wanane walioangukiwa na mnara kule Siloamu wakafa; mNADHANI wao walikuwa wakosefu zaidi kuliko wengine wote walioishi Yerusalemu?
John 21 25 Kuna mambo mengine mengi aliyofanya Yesu, ambayo kama yangeandikwa yote, moja baada ya lingine, NADHANI hata ulimwengu wenyewe usingetosha kuviweka vitabu ambavyo vingeandikwa.
Acts 13 25 Yohane alipokuwa anamaliza ujumbe wake aliwaambia watu: MNADHANI mimi ni nani? Mimi si yule mnayemtazamia. Huyo anakuja baada yangu na mimi sistahili hata kuzifungua kamba za viatu vyake.
Acts 25 27 Kwa maana NADHANI itakuwa kichekesho kumpeleka mfungwa bila kutaja wazi mashtaka yanayomkabili."
Romans 2 3 Lakini wewe, rafiki, unayewahukumu wale wanaofanya mambo kama hayo bali wewe pia unayafanya, je uNADHANI utaiepa hukumu ya Mungu?
Romans 11 21 Kwa maana, ikiwa Mungu hakuwahurumia Wayahudi ambao ni kama matawi ya asili, je, uNADHANI atakuhurumia wewe?
1 Corinthians 6 15 Je, hamjui kwamba miili yenu ni viungo vya mwili wa Kristo? Je, mNADHANI naweza kuchukua sehemu ya mwili wa Kristo na kuifanya kuwa sehemu ya mwili wa kahaba? Hata kidogo!
1 Corinthians 7 26 Basi, kutokana na shida iliyopo sasa NADHANI ingefaa mtu abaki kama alivyo.
1 Corinthians 10 22 Au je, tunataka kumfanya Bwana awe na wivu? MNADHANI tuna nguvu zaidi kuliko yeye?
1 Corinthians 14 36 Je, mNADHANI neno la Mungu limetoka kwenu ninyi au kwamba limewajieni ninyi peke yenu?
1 Corinthians 14 37 Kama mtu yeyote aNADHANI kwamba yeye ni mjumbe wa Mungu au kwamba anacho kipaji cha Roho, na ajue kwamba haya ninayowaandikia ninyi ni amri ya Bwana.
2 Corinthians 1 17 Je, mNADHANI nilipopanga hivyo nimekuwa kama mtu asiye na msimamo? Je, mNADHANI kwamba ninafanya uamuzi wangu kwa fikira za kibinadamu na kwamba nasema "Ndiyo" na "Siyo" papo hapo?

Page:   1 2