menu.png

Bible Search

 (Index)


Found entries

•••► •••►
Book Chapter Verse Text
Acts 18 18 Paulo alikaa bado na wale ndugu huko Korintho kwa siku nyingi. Kisha aliwaaga, akapanda meli kwenda Siria pamoja na Priskila na Akula. Huko Kenkrea, alinyoa nywele zake kwa sababu ya NADHIRI aliyokuwa ameweka.
Acts 21 23 Basi, fanya kama tunavyokushauri. Tunao hapa watu wanne ambao wameweka NADHIRI.

Page:   1